Inflatable Baby Chair
120000 Sh 99000 Sh
PVC ya hali ya juu – laini, salama kwa mtoto na haina madhara kwa mazingira.
Msaada kwa Kiuno cha Mtoto
Kiti husaidia mtoto kukaa kwa urahisi bila kuchoka – inalinda kiuno na inasaidia katika ukuaji wake.
Inafaa Kwa Kusafiri, Bafu au Kutembelea Jamaa
Rahisi kubeba na kutumia kokote – bafuni, kwenye likizo, au hata safari ya haraka!

















